Picha: Michuano ya Silent Ocean Ramadhan CUP 2024, GSM na GSP wachuana uwanjani…. - bongoresults Picha: Michuano ya Silent Ocean Ramadhan CUP 2024, GSM na GSP wachuana uwanjani…. - bongoresults
Business

Picha: Michuano ya Silent Ocean Ramadhan CUP 2024, GSM na GSP wachuana uwanjani….

Ni Headlines za michuano ya Silent Ramadhan Cup 2024 ambapo baada ya kuzinduliwa Machi 12, 2024 na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo Dkt Damas Ndumbaro katika viwanja vya JK Park Stadium.

Sasa michuano hiyo inaendelea na moja kwa moja kutokeani dimbani leo Machi 20, 2024 zimekutana timu mbili GSM dhidi ya GSP ambazo dakika zimemaliza dakika 90 kwa matokeo ya bila kwa bila (GSM 0- 0 GSP).

Hizi ni baadhi ya picha kutokea uwanjani hapo tazama wakati timu hizo mbili wakicheza ama wakioneshana makali uwanjani.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Sports 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top