Mapya: Kifo cha Mzee wa Mjegele, ‘hadi anakufa wamemdhulumu pesa zake’ - bongoresults Mapya: Kifo cha Mzee wa Mjegele, ‘hadi anakufa wamemdhulumu pesa zake’ - bongoresults
Business

Mapya: Kifo cha Mzee wa Mjegele, ‘hadi anakufa wamemdhulumu pesa zake’

Kizwite Secondary School

Mchekeshaji Umar Lahbedi Issa maarufu kama Mzee wa Mjegeje amezikwa leo katika makaburi ya Chang’ombe Maduka Mawili, Dar es salaa huku Watu mbalimbali wakijitokeza.

@AyoTV_ imefanya mahojiano na baadhi ya Watu wa karibu na Marehemu akiwemo msanii Mhina Charles maarufu kama B-Boy ambaye amesema hadi Mzee wa Mjegejo anafariki amedhulumiwa fedha za matangazo katika baadhi ya kampuni.

“Manufaa ndio yalikuwa yanaanza kutokea japo kuwa kulikuwa na vikwazo baina ya Watu tuliokuwa tunafanya nao kazi tulipata vikwazo vingi sana ikiwemo wengine kutudhulumu pesa na wengine ni Wafanyakazi wa Media kwahiyo hadi anafikia hali hii wengine walikuwa wanamtumia bure hawakumpa hela”

Mzee wa Mjegeje amefariki dunia usiku wa March 20,2024 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala.

 

Top Stories 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top